Wabunge nane waliotimuliwa na Profesa Ibrahim Lipumba , mmoja alizungumza jana na Waandishi wa habari aliyejulikana kwa jina la Raisa Abdallah Mussa alisema kuwa walipokosea ni padogo huku akisema si kazi kubwa sana kuparekebisha baada ya Mahakama kuyatupa maombi ya wabunge hao waliotimuliwa CUF.
Title :
Mbunge wa CUF aliyetimuliwa atoa maneno ya kusisimua (+Video)
Description : Wabunge nane waliotimuliwa na Profesa Ibrahim Lipumba , mmoja alizungumza jana na Waandishi wa habari aliyejulikana kwa jina la Raisa Abd...
Rating :
5