Watu 22 wamepotea kufuatia daraja kubwa
linalounganisha mji wa MUMBAI na ufukwe wa bahari wa mji wa GOA
magharibi mwa nchi ya INDIA kuvunjika
Watu 22 wapotea nchini INDIA baada ya daraja kuvunjika
Taarifa zinasema kuwa mabasi mawili yaliyokuwa yamebeba
abiria yamekumbwa na mafuriko katika mto baada ya daraja hilo
kukuvunjika.
Polisi nchini humo wamesema waokoaji bado hawajafanikiwa kuokoa mtu
au kitu chochote kutoka katika ajali hiyo, kutokana na mvua kubwa
kuendelea kunyesha nchini humo.
Kamanda wa uokoaji majanga makubwa yakitaifa nchini humo amesema waokoaji 80 wamepelekwa katika eneo hilo kwa ajili ya uokoaji.
Title :
WATU 22 WATOWEKA BAADA YA DARAJA KUKATIKA INDIA
Description : Watu 22 wamepotea kufuatia daraja kubwa linalounganisha mji wa MUMBAI na ufukwe wa bahari wa mji wa GOA magharibi mwa nchi ya INDIA kuvu...
Rating :
5