Mwanariadha wa kasi zaidi duniani mzaliwa na Jamaica Usain Bolt
amepata dhahabu katika mbio tatu tofauti katike kile kinachojulikana
katika kiingereza kama "trible trible" au tatu tatu.
Shindano lake la mwisho lilikuwa la mita 100 kupokezana vijiti mara nne.
Alipokea
kijiti mwisho katika timu yake na akafululiza kishujaa na kumshinda
mpinzani wake wa karibu kutoka Japan, aliyeshinda Marekani na kuchukua
Shaba.
Bolt ameshinda dhahabu mara tatu katika Olimpiki zote tatu
alizoshiriki ndipo ushindi wake huu ukatambuliwa kama trible trible
yaani tatu tatu.
Title :
USAIN BOLT,ANYAKUA TUZO YA DHAHABU KWAMARA YA TATU
Description : Mwanariadha wa kasi zaidi duniani mzaliwa na Jamaica Usain Bolt amepata dhahabu katika mbio tatu tofauti katike kile kinachojulikana ka...
Rating :
5