Serikali imetoa onyo kwa watumishi wa idara ya ardhi nchini ambao watashindwa kufuata sheria,taratibu, kanuni na maadili ya kazi
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya makazi WILLIAM LUKUVI
Serikali imetoa onyo kwa watumishi wa idara ya ardhi nchini
ambao watashindwa kufuata sheria,taratibu, kanuni na maadili ya kazi
na kuwaagiza makatibu Tawala wa Mikoa kuwachukulia hatua mara moja
pindi wanapobainika kuwa kikwazo cha kuondosha migogoro ya ardhi katika
maeneo yao.
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya makazi WILLIAM LUKUVI ametoa
onyo hilo huku akirejea sakata la kumilikishwa zaidi ya ekari elfu mbili
kwa kampuni ya ROCKSHIELD na kutoa onya kwa mthamini wa Manispaa ya
Bukoba PROJESTUS KATABARO ambaye anadaiwa kukiuka maadili ya kazi yake.
Title :
MH.LUKUVI AWAPA ONYO WATUMISHI WA ARDHI
Description : Serikali imetoa onyo kwa watumishi wa idara ya ardhi nchini ambao watashindwa kufuata sheria,taratibu, kanuni na maadili ya kazi Wazir...
Rating :
5