Umoja wa Mataifa umekiri kwa mara ya kwanza kwamba ulichangia kuzuka kwa ugonjwa wa kipindupindu nchini HAITI
UN yakiri kuchangia kuenea kwa kipindupindu HAITI
Umoja wa Mataifa umekiri kwa mara ya kwanza kwamba
ulichangia kuzuka kwa ugonjwa wa kipindupindu nchini HAITI na umetaka
juhudi zaidi fanyika ili kumaliza mateso wanayopata waathirika
wanaokadiriwa kuwa zaidi ya watu 800,000.
Watafiti wamesema kuna ushahidi wa kutosha kwamba ugonjwa huo
ulianzia kutoka kwenye kambi ya wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa
Mataifa mwaka 2010.
Wakili wa haki za binaadamu nchini HAITI, MARIO JOSEPH, amesema huo
ni ushindi mkubwa kwa maelfu ya raia wa HAITI ambao wamekuwa wakitafuta
haki na kuwa wataweza kuushitaki
Title :
UN: YAKIRI KUWEPO NA MAAMBUKIZI YA KIPINDUPINDU HAITI
Description : Umoja wa Mataifa umekiri kwa mara ya kwanza kwamba ulichangia kuzuka kwa ugonjwa wa kipindupindu nchini HAITI UN yakiri kuchangia kuen...
Rating :
5