Bi SHAKIRA SAID Mwanamuziki Mkongwwe wa
Taarab Amefariki ghafla siku ya Ijumaa usiku mara baada ya kumaliza
kuswali nyumbani kwake Mbagala Charambe
Bi SHAKIRA SAID
TANZIA, Bi SHAKIRA SAID Mwanamuziki Mkongwwe wa Taarab
Amefariki ghafla siku ya Ijumaa usiku mara baada ya kumaliza kuswali
nyumbani kwake Mbagala Charambe.
Habari kutoka kwa Mtoto wa Marehemu zinasema kuwa Bi SHAKIRA ameanguka ghafla na alikua haumwi.
Marehemu atakumbukwa kwa wimbo maarufu NIKIMKUMBUKA WANGU MARIDHIYA MACHO YANALIA MOYO UNACHEKA.
Akitoa Salamu za Rambirambi ADDO NOVEMBER Rais wa Shirikisho la Muziki
Tanzania amesema Tasnia ya Muziki imempoteza Mwanamuziki wa siku nyingi
ambaye amepeperusha Bendera kwa Nyimbo zake zenye Mafundisho na Busara.
Mungu aiweke Roho ya Marehemu Mahala pema Peponi - AMIN
Title :
BI SHAKIRA SAID, AFARIKI DUNIA
Description : Bi SHAKIRA SAID Mwanamuziki Mkongwwe wa Taarab Amefariki ghafla siku ya Ijumaa usiku mara baada ya kumaliza kuswali nyumbani kwake Mbaga...
Rating :
5