Mkuu wa mkoa wa Dsm PAUL MAKONDA amewataka
wanamziki wa dansi kote nchini, kupiga nyimbo zitakazohimiza wananchi
kufanya kazi za uzalishaji mali badala ya kuendelea kupiga nyimbo
zinazohimiza mapenzi katika ujamii
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa katika picha ya pamoja na
wanamuziki wa dansi baada ya kuzungumza nao ofisi kwake
Wanamuziki hao wa dansi wametembelea ofisi ya mkuu wa mkoa
wa DSM,PAUL MAKONDA,kwa lengo la kutangaza nia yao ya kuchangia madawati
kupitia tamasha lao litakalofanyika katika viwanja vya LEANDERS jijini
DSM siku ya JUMAMOSI.
Mkuu wa Mkoa wa DSM PAUL MAKONDA anawataka wanamziki hao,kupinga
nyimbo za kuhimiza watu kufanya kazi kwa ili wajiletee maaendeleo.
Fedha zitakazopatikana katika tamasha hilo zitatumika kwa ajili ya kununulia madawati kwa ajili ya shule za msingi jijini DSM
Title :
MAKONDA AWAOMBA WASANII WA DANSI KUZAZIA KUFANYA KAZI
Description : Mkuu wa mkoa wa Dsm PAUL MAKONDA amewataka wanamziki wa dansi kote nchini, kupiga nyimbo zitakazohimiza wananchi kufanya kazi za uzalis...
Rating :
5