Uongozi wa serikali ya jimbo la FLORIDA, nchini MAREKANI, umeanza zoezi la kupambana na ugonjwa hatari wa ZIKA
Jimbo la FLORIDA laanza kupambana na ugonjwa wa ZIKA
Uongozi wa serikali ya jimbo la FLORIDA, nchini MAREKANI,
umeanza zoezi la kupambana na ugonjwa hatari wa ZIKA ambao inasemekana
umeingia katika jimbo hilo, kwa kupuliza dawa ya kuulia wadudu
majumbani.
Hivi sasa wataalamu wanapiga dawa za kuulia wadudu, katika mitaa
mbalimbali ya mji huo wakiwapulizia mbu wanaosababisha maambukizi ya
vijidudu vya ZIKA.
Habari zinasema tayari watu MIA NNE wameambukizwa virusi vya ZIKA
katika jimbo hilo la FLORIDA, na katika jimbo la MIAMI ni watu Elfu moja
na mia tano
Title :
JIMBO LA FROLIDA LAANZA KUPAMBANA NA MMBU WA ZIKA
Description : Uongozi wa serikali ya jimbo la FLORIDA, nchini MAREKANI, umeanza zoezi la kupambana na ugonjwa hatari wa ZIKA Jimbo la FLORIDA laanza...
Rating :
5