Baadhi ya wakazi wa jiji la DAR ES SALAAM
wameomba wakala wa mabasi yaendayo haraka nchini UDART kuongeza idadi ya
mabasi siku za mwishoni mwa juma
Wakazi wa DSM waomba kuongezewa magari ya mwendokasi
Baadhi ya wakazi wa jiji la DAR ES SALAAM wameomba wakala wa
mabasi yaendayo haraka nchini UDART kuongeza idadi ya mabasi siku za
mwishoni mwa juma ili kupunguza adha ya usafiri wanayokumbana nayo
hususani katika kituo cha KIMARA MWISHO.
Baada ya kupokea malalamiko hayo, TBC imemtafuta Meneja Uhusiano wa
UDART, DEUS BUGAYWA ambaye amesema huwa wanatoa mabasi kulingana na
mwenendo wa safari za abiria kutoka sehemu moja mpaka nyingine
Title :
WAKAZI WA DAR ES SALAAM WAOMBA KUONGEZEWA MABASI YA MWENDOKASI
Description : Baadhi ya wakazi wa jiji la DAR ES SALAAM wameomba wakala wa mabasi yaendayo haraka nchini UDART kuongeza idadi ya mabasi siku za mwisho...
Rating :
5