Manispaa ya mji wa BUKOBA ambao ndio wamiliki
wa uwanja wa KAITABA wametakiwa kukaa pamoja na shirikisho la soka
nchini TFF ili kupata suluhisho
kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa GEORGE MBIJIMA
Manispaa ya mji wa BUKOBA ambao ndio wamiliki wa uwanja wa
KAITABA wametakiwa kukaa pamoja na shirikisho la soka nchini TFF ili
kupata suluhisho na kuondoa vikwazo katika ukamilishwaji wa ukarabati wa
uwanja huo.
Ushauri huo umetolewa na kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa
GEORGE MBIJIMA alipokuwa akiweka jiwe la msingi la uwekwaji wa Nyasi
bandia katika uwanja huo.
Fundi Mkuu wa kazi hiyo COLLINS HORVE kutoka kampuni ya LAMONDE
SPORTS kutoka nchini Afrika ya Kusini anamhakikishia kiongozi wa mbio za
mwenge kitaifa kuwasili kwa vifaa vya mwisho kukamilisha kazi hiyo
ambavyo kwa sasa vipo katika bandari ya Dar es Salaam vikisubiri
taratibu za kulipiwa ushuru
Title :
TFF YAIZUNGUMZIA MIPANGO ENDELEVU YA UWANJA WA KAITABA
Description : Manispaa ya mji wa BUKOBA ambao ndio wamiliki wa uwanja wa KAITABA wametakiwa kukaa pamoja na shirikisho la soka nchini TFF ili kupata s...
Rating :
5