Kocha wa timu ya Manchester Pep Guardiola amethibitisha kuwa timu yake inampango wa kumsajili mlinzi wa Everton JOHN STONES
JOHN STONES
Taarifa zinasema timu ya EVERTON inataka kiasi cha paundi
milioni 50 ili kuweza kumuuza JOHN STONES ambae kwenye msimu wa kiasi wa
usajili uliopita nusra ajiunge na CHELSEA.
Katika kuongezea uzito Guardiola amesema kila mtu anajua kuwa
wanaenda kujaribu kumsajili mlinz huyo na baadae watapata jibu kama
itawezekana ila malengo yake ni kumsajili ili kuongeza nguvu safu yake
ya ulinzi.
JOHN STONES alikuwemo kwenye kikosi cha England kilichoshiriki
michuano ya mataifa ya ULAYA (EURO 2016) ingawa hakucheza mchezo hata
mmoja naGuardiola anasema mlinzi huyo ni mtu makini na mzuri kwa mpira
ya juu hivyo atakuwa msaada toka kwa timu yake ingawa mwenyewe anasema
anafurahishwa na kikosi chake cha sasa.
Title :
MAN CITY KUMSAJILI MLINZI WA KATI WA EVERTON
Description : Kocha wa timu ya Manchester Pep Guardiola amethibitisha kuwa timu yake inampango wa kumsajili mlinzi wa Everton JOHN STONES JOHN STO...
Rating :
5