HILLARY CLINTON Amekubali Rasmi Kuwa Mgombea Urais Wa Chama Cha DEMOCRATIC Nchini MAREKANI huku akiwa mwanamke wa kwanza
HILLARY CLINTON
HILLARY CLINTON Amekubali Rasmi Kuwa Mgombea Urais Wa Chama
Cha DEMOCRATIC Nchini MAREKANI huku akiwa mwanamke wa kwanza
kuidhinishwa kugombea nafasi hiyo na chama kikubwa nchini humo.
Akizungumza katika mkutano mkuu wa chama cha DEMOCRAT CLINTON amesema
kuwa serikali yake haitajenga ukuta bali watajenga uchumi utakaoruhusu
kila mtu kuwa na maisha mazuri.
Katika hotuba yake CLINTON pia amewasifu wanaomuunga mkono BERNIE
SANDERS na kuahidi kushirikiana nae licha ya kuwa alikua mpinzani wake
mkubwa katika safari yake ya kugombea kiti cha urais kupitia chama cha
DEMOCRAT.
Title :
HILLARY CLINTON AIPOKEA MIKOBA YA URAISI RASMI
Description : HILLARY CLINTON Amekubali Rasmi Kuwa Mgombea Urais Wa Chama Cha DEMOCRATIC Nchini MAREKANI huku akiwa mwanamke wa kwanza HILLARY CLINT...
Rating :
5