Sasa ni Mr. & Mrs, mbunge wa kigoma mjini na kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amemuoa mpenzi wake aliyemvisha pete ya uchumba miezi miwili iliyopita, ndoa na tafrija zote zimefanyika Zanzibar
Siku ambayo Zitto Kabwe alimvisha pete mpenzi wake
wakati wakifunga ndoa leo Zanzibar