March 18 2016 mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alitoa agizo la siku 90 kwa wananchi wote Dar wanaomiliki silaha kwenda kuzihakiki upya katika vituo vya polisi,NTAMABA imefanya exclusive na kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaamSimon Sirro akitueleza hatua iliyofikia hadi sasa.
‘Takribani ya asilimia 85 ya watu wamehakiki silaha zao na mwitikio umekuwa mkubwa, tunachofanya sasa ni kuchambua ni nani hajaja kuhakiki silaha yake/zake ili tuweze kuchukua hatua ingawa kuna baadhi ya watu wamenipigia kuwa bado wanataka kuja kuhakiki na nitamjulisha mkuu wa mkoa‘ –Kamanda Simon Sirro
Title :
Baaada ya Mh:MAKONDA kutoa agizo la wanao miliki silaha kinyume cha sheria kuzisalimisha,kamanda SIMON SIRRO anena haya...
Description : March 18 2016 mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alitoa agizo la siku 90 kwa wananchi wote Dar wanaomiliki silaha kwenda kuziha...
Rating :
5