Mwanachama wa klabu ya SIMBA MOHAMMED DEWJI amesema SIMBA haiitaji
ufadhili bali inahitaji mwekezaji ili aweze kuisaidia SIMBA iweze
kufika mbali ambapo amepanga kuwekeza shilingi bilioni 20
Baada ya maneno ya muda mrefu juu ya mwanachama wa klabu ya SIMBA
MOHAMED DEWJI kutaka kuinunua SIMBA mambo yamewekwa hadharani na
mwanachama huyo
Amesema iwapo wanachama wa SIMBA watamkubalia kuwekeza katika klabu hiyo
atanunua hisa na kuwapa bure hisa zingine wanachama wa SIMBA.
Amesema yupo tayari kuisaidia SIMBA kufanya usajili kwa kipindi hiki
iwapo itaonyesha nia ya kuumpa nafasi ya kuwekeza katika klabu hiyo
Simba inatarajiwa kufanya mkutano mkuu wa wanachama utakaojadili juu ya
uwendeshwaji wa klabu hiyo siku ya Jumapili katika Bwalo la maofisa wa
Polisi Oysterbay
Title :
MO DEWJI, SIMBA INAITAJI MUWEKEZAJI ILIKUFIKA MBALI ZAIDI
Description : Mwanachama wa klabu ya SIMBA MOHAMMED DEWJI amesema SIMBA haiitaji ufadhili bali inahitaji mwekezaji ili aweze kuisaidia SIMBA iweze k...
Rating :
5