Msimamizi wa Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Singida Mashariki ambaye pia ni Ofisa Mipango wa Halmashauri ya Ikungi, Thomas Mwailafu ameeleza kwamba hadi kufikia siku ya jana July 18, 2019 ni mgombe mmoja pekee ambaye ni kutoka CCM Miraji Mtaturu ndio alifanikiwa kurejesha fomu za kuwania nafasi Ubunge katika Jimbo hilo kati ya wagombea 13 waliojitokeza kuchukua fomu.
“Waliochukua fomu ni mmoja tu amerejesha, wengine hawajarudisha fomu, sijui kwa nini hawajarudisha, siku ya kuchukua fomu walichukua kwenda kujaza, kwa sasa bado hatujathibitisha mpaka saa kumi leo, muda huo ukifika bila pingamizi lolote tutamtangaza” Msimamizi wa Uchaguzi Singida Masharaiki Mwailafu
Title :
Mgombea Jimbo la Tundu Lissu wa CCM “hajathibitishwa kushinda”
Description : Msimamizi wa Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Singida Mashariki ambaye pia ni Ofisa Mipango wa Halmashauri ya Ikungi, Thomas Mwailafu ameeleza...
Rating :
5