Jeshi la Polisi mkoani Dodoma likiongozwa na Kamanda wake Gilles Muroto limeendelea na Operation maalum ya kukamata wahalifu mbalimbali ambapo limewakamata watuhumiwa 29 wa biashara ya ukahaba wakiwemo wanaume wanaodaiwa kuwanunua madada poa pamoja na wamiliki wa maeneo yanayofanyikia biashara hizo.
Title :
Watuhumiwa wa ukahaba walivyoingia kwenye 18 za Kamanda Muroto
Description : Jeshi la Polisi mkoani Dodoma likiongozwa na Kamanda wake Gilles Muroto limeendelea na Operation maalum ya kukamata wahalifu mbalimbali a...
Rating :
5