Kaka yake Marehemu Pancho Latino anayeitwa Idan Magawa ametoa ratiba fupi kuhusu mazishi ya marehemu mdogo wake ambapo kasema kuwa wao kama familia wamekubaliana kuwa marehemu Pancho hataagwa Leaders bali ataagwa katika hospitali ya Lugalo siku ya Ijumaa kisha kuelekea Gairo Morogoro mahali ambapo ndipo atazikwa.
Title :
Mwili wa Pancho Kuagwa Lugalo Ijumaa
Description : Kaka yake Marehemu Pancho Latino anayeitwa Idan Magawa ametoa ratiba fupi kuhusu mazishi ya marehemu mdogo wake ambapo kasema kuwa wao...
Rating :
5