Hivi karibuni nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania anayeichezea club ya KCR Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta anahusishwa kuhitajika na vilabu mbalimbali vya Ligi KuuEngland.
Samatta anahitajika na vilabu vya Ligi Kuu England kama West Ham United, Burnley, Everton na Brighton, Samatta kwa sasa kwa mujibu wa soka la usajili anathamani ya euro milioni 4 ambazo ni zaidi ya Tsh Bilioni 10.
Title :
Bei ya Samatta kwa sasa unanunua Private Jet Mpyaaa !!!
Description : Hivi karibuni nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania anayeichezea club ya KCR Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta anahusishwa kuhitaji...
Rating :
5