 |
| Mkurugenzi wa sanaa kushoto wakipata picha ya pamoja na Tabibu Ntamba na Mungu Pamoja na Meneja wa Nyegerawaitu Mama Hidaya (Kulia) |
Baraza la Sanaa Tanzania Limempongeza Tabibu ntamba na mungu pamoja na uongozi mzima wa kampuni Inayosimamiwa na Tabibu Ntamba na Mungu Ijulikanayo Kama Nyegerawaitu Entertainment kwa Kuwakusanya Vijana Wenye Vipaji Mbali mbali Kuwakwamua na kuwaepusha na matokeo mabaya ya mtaani ikiwemo Wizi, Ukabaji, Utumiaji Madawa ya Kulevya N.k.
Aidha wamewataka wasanii wanaochipukia kujikubali na kuchangamkia fursa zinazojitokeza Pamoja na Kuhudhulia Semina Mbalimbali za sanaa Ili kupata changamoto zaidi na kujua nini Wanachotakiwa Kufanya wakiwa kama wasanii wenye ndoto kubwa.
Title :
BASATA WAMPONGEZA TABIBU NTAMBA NA MUNGU
Description : Mkurugenzi wa sanaa kushoto wakipata picha ya pamoja na Tabibu Ntamba na Mungu Pamoja na Meneja wa Nyegerawaitu Mama Hidaya (Kulia) ...
Rating :
5