Mzee Majuto awajibu waliomzushia kifo ‘mimi siogopi kufa’
Muigizaji mkongwe wa filamu, Mzee Majuto alizushiwa kifo katika mitandao ya kijamii ambapo imetulazimu kumtafuta King Majuto ili kumjulia hali pia yeye aongee kuhusu taarifa hizo za kifo.
“Si kitu kizuri, mimi nina marafiki wengi mpaka nje ya nchi sasa unaposema nimefariki wanaweza kuja halafu wananikuta nakula ugali bamia, si kitu kizuri watu wanatumia vibaya mitandao, mimi sijafa mimi mzima kabisa” amesema Mzee Majuto
Title :
KIFO CHA STAR MUIGIZAJI KING MAJUTO NI BATILI
Description : Mzee Majuto awajibu waliomzushia kifo ‘mimi siogopi kufa’ Muigizaji mkongwe wa filamu, Mzee Majuto alizushiwa kifo katika mitandao...
Rating :
5