Leo June 14, 2018 Kamanda wa Jeshi la polisi Kanda Maalum, Lazaro Mambosasalimepiga marufuku magari ya serikali, magari ya vyombo vya ulinzi na usalama na yale ya wagonjwa kupita kwenye barabara zisizoruhusiwa kwa kuwa sio matumizi salama.
Mambosasa ametoa marufuku hiyo ikiwa ni siku tatu baada ya gari la wagonjwa la Chuo Kikuu cha DSM kuligonga lori na kusababisha vifo vya watu wa wanne wakiwamo wanafunzi wawili wa chuo hicho.
Title :
BREAKING: Polisi yatoa onyo magari JWTZ, Polisi na ambulance yanayovunja sheria
Description : Leo June 14, 2018 Kamanda wa Jeshi la polisi Kanda Maalum, Lazaro Mambosasa limepiga marufuku magari ya serikali, magari ya vyombo vya ...
Rating :
5