kuna hii stori ningependa uifahamu ambayo kidogo inaweza kukuacha mdomo wazi ni baada miche ya bangi kukutwa imeoteshwa katika viwanja vya bunge nchini Japan jijini Tokyo.
Miche ya bangi iling’olewa baada ya kugundulika na watu waliotembelea jengo hilo, ingawa haijafahamika miche hiyo ilioteshwa lini na nani.
Afisa mmoja wa bunge la nchi hiyo amesema kuna uwezekano mbegu za bangi zilipeperushwa na upepo au kinyesi cha ndege wa angani.
Title :
Bangi imekutwa imeota bungeni
Description : kuna hii stori ningependa uifahamu ambayo kidogo inaweza kukuacha mdomo wazi ni baada miche ya bangi kukutwa imeoteshwa katika viwanja ...
Rating :
5