Kundi la musiki wa kizazi kibya lijulikanalo kama Ntamba Band linalomilikiwa na tabibu Ntamba Na Mungu Leo Ijumaa ya tarehe 13oct litafanya bonge la show la kujipongeza kitimiza miaka miwili. Shoo hiyo itasindikizwa na wakali kiba akiwemo Mc Sudi mzee wa simba pamoja na sapraiz kibao toka kwa wasanii wa bongo movie na bongo fleva ndani ya Dar Safari Park & night club Buza
Title :
kundi la ntamba band latimiza miaka miwili leo Bonge la party laandaliwa
Description : Kundi la musiki wa kizazi kibya lijulikanalo kama Ntamba Band linalomilikiwa na tabibu Ntamba Na Mungu Leo Ijumaa ya tarehe 13oct litafa...
Rating :
5