Mkurugenzi wa kampuni ya kuibua vipaji pamoja na burudani ndani na nje ya tanzania Tabibu ntamba na mungu ameongoza vijana katika kufanya usafi jumamosi ya wiki iliyopita kata ya changuru dar es salaam.
Tabibu ntamba na mungu amesema tunahitaji dar es salaam na tanzania kwa ujumla iwe safi na yenye kuvutia "moja ya vitu ambavyo hatujavijua watanzania wenzangu ni kuwa tutakapotengeneza mazingira mazuri ya nchi yetu pia tunatengeneza thamani na heshima pia ya nchi yetu watamzania wenzangu tutunze mazingira yetu kwa faida na thamani yetu" alisema tabibu ntamba na mungu.
|
tabibu ntamba na mungu pamoja na wananchi waliojitokeza kufanya usafi wakipata picha ya pamoja |
|
Tabibu ntamba na mungu akishauriana kitu na mjumbe wa serikari ya mtaa changuru buza dsm |
Title :
Picha: tabibu ntamba na mungu asisitiza usafi dar
Description : Mkurugenzi wa kampuni ya kuibua vipaji pamoja na burudani ndani na nje ya tanzania Tabibu ntamba na mungu ameongoza vijana katika kufanya...
Rating :
5