Ntamba band wamewashukuru wadau wa morogoro kwa mapokezi makubwa waliyo yapata walipokwenda kwenye interview ndani ya Abood tv.
Akizungumzia mapokezi yao msemaji wa band Boker Junior alisema "Tunaishukuru abood tv pamoja na fm kwa kutualika katika interview lakini tumeshangazwa pia na mapokezi ya wananchi wakawaida katika sehemu mbalimbali tulizokua tukitembelea".
Msemaji huyo wa ntamba band alimalizia shukrani pamoja na kuwaahidi tena kuwa imetoka baridi lakini vitu vingine vizuri zaidi vinafuatia.
Usikose kuitazama baridi Video kwenye YouTube channel yao pamoja na kusubscribe - NTAMBA TV
Title :
NTAMBA BAND;SHUKRANI MORO
Description : Ntamba band wamewashukuru wadau wa morogoro kwa mapokezi makubwa waliyo yapata walipokwenda kwenye interview ndani ya Abood tv. Akizu...
Rating :
5