 |
| Hii ndo taarifa ambayo ametolewa na klabu ya Simba SC |
Klabu ya Simba SC kupitia kwa afisa habari wake Haji Manara, wametoa taarifa kwa wanachama wake kuwajulisha kuhusu mkutano mkuu wa dharura kwa ajili ya kurekebisha katiba yao utakaofanyika December 11, 2016 bwalo la maafisa wa Polisi Oysterbay.
Title :
Hii taarifa mpya kutoka kwa uongozi wa Simba SC
Description : Hii ndo taarifa ambayo ametolewa na klabu ya Simba SC Klabu ya Simba SC kupitia kwa afisa habari wake Haji Manara, wametoa taarifa kwa ...
Rating :
5