Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya Naibu Kamishna DHAHIRI KIDAVASHARI
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya Naibu Kamishna DHAHIRI
KIDAVASHARI, amesema watu watano wamekamatwa na shehena ya vitu
mbalimbali vilivyoibiwa majumbani, watuhumiwa wengine 19 wamekamatwa
wakiwa wamenunua vitu hivyo vilivyoibiwa na JOSEPH NYINGI amekamatwa
akiwa ameiba gari aina ya NISSAN X-TRAIL kwa kutumia silaha.
Kufuatia matukio hayo baadhi ya wakazi wa mkoa wa Mbeya wamewashauri
wazazi kuwa karibu na watoto wao ili kubaini vitendo vyao vinavyopelekea
kujiingiza katika matukio mbalimbali ya uhalifu
Title :
WATU 25 WAKAMATWA KWA UJAMBAZI MBEYA
Description : Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya Naibu Kamishna DHAHIRI KIDAVASHARI Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya Naibu Kamishna DHAHIRI KIDAVA...
Rating :
5