Tanzania yashuhudia kupatwa kwa Jua
Watanzania katika maeneo mbalimbali asubuhi ya leo wameshuhudia kupatwa kwa jua. Kwa siku kadhaa bodi ya utalii imeendesha
Kwa siku kadhaa bodi ya utalii imeendesha kampeni maalum ya kuwahamasisha watanzania kwenda wilayani WANG'INGOMBE
mkoani Mbeya kushuhudia kwa uzuri jua hilo likipatwa na kuwepo kwa hali ya giza katika muda wa asubuhi.
Kampeni hiyo imeungwa mkono na wananchi mbalimbali kutoka ndani na
nje ya nchi waliojitokeza kukesha wakisubiri kushuhudia tukio hilo la
kihistoria katika uwanja maalum wilayani Wang'ingombe.
Hata hivyo maeneo mengine ya Tanzania wananchi wamejitokeza nje ya
nyumba zao na maeneo yao ya kazi wakiwa wanaangalia tukio hilo la
kihistoria linalotokea marachach
Title :
TANZANIA YASHUHUDIA KUPATWA KWA JUA
Description : Tanzania yashuhudia kupatwa kwa Jua Watanzania katika maeneo mbalimbali asubuhi ya leo wameshuhudia kupatwa kwa jua. Kwa siku k...
Rating :
5