Uganda imefuzu kwa mara ya kwanza
kucheza katika fainali za Kombe la Mataifa Bingwa Afrika kwa mara ya
kwanza tangu 1978 baada ya kulaza Comoros Jumapili.
Ushindi wao wa
1-0 uliwawezesha kufuzu kwa fainali zitakazochezewa Gabon mwaka ujao
kama mojawapo wa mataifa mawili bora yaliyomaliza ya pili katika
makundi.
Wapinzani wao Kundi D Burkina Faso pia walifuzu kwa
ushindi wa dakika za mwisho wa 2-1 dhidi ya Botswana, ushindi
uliowawezesha kuongoza kundini.
Tunisia na DR Congo pia zilifuzu baada ya kuongoza katika makundi yao.
Mataifa
16 yatashiriki michuano hiyo itakayoandaliwa 14 Januari hadi 5
Februari. Waliofuzu ni viongozi wa makundi yote 13, mataifa mawili bora
yaliyomaliza ya pili hatua ya makundi, na wenyeji Gabon.
Algeria,
Cameroon, Egypt, Ghana, Guinea-Bissau, Ivory Coast, Mali, Morocco,
Senegal na Zimbabwe walijihakikishia nafasi kabla ya mechi za Jumapili.
Katika
kufuzu, Uganda pia walifikisha alama 13, kupitia bao la dakika ya 35 la
Farouk Miya mjini Kampala, lakini wakaorodheshwa wa pili kwa sababu
walilemewa na Burkina Faso klabu hizo mbili zilipokutana.
Mara ya
mwisho Uganda kucheza fainali za Kombe la Mataifa Bingwa Afrika ilikuwa
miaka 38 iliyopita ambapo walimaliza wa pili baada ya kushindwa fainali
an Ghana.
Mechi za mwisho za kufuzu Kombe la Mataifa Bingwa Afrika 2017 |
|
|
Kundi A
|
Kundi B
|
Kundi C
|
Togo 5-0 Djibouti |
Angola 1-1 Madagascar |
Equatorial Guinea 4-0 South Sudan |
Tunisia 4-1 Liberia |
DR Congo 4-1 Central African Republic |
Mali 5-2 Benin |
Kundi D
|
KundiE
|
Kundi F
|
Burkina Faso 2-1 Botswana |
Congo 1-0 Guinea-Bissau |
Cape Verde 0-1 Libya |
Uganda 1-0 Comoros |
Zambia 1-1 Kenya |
Morocco v Sao Tome e Principe (1900) |
Kundi G
|
Kundi H
|
Kundi I
|
Nigeria 1-0 Tanzania |
Ghana 1-1 Rwanda |
Ivory Coast 1-1 Sierra Leone |
|
Mozambique 1-0 Mauritius |
Sudan 1-2 Gabon |
Kundi J
|
Kundi K
|
Kundi L
|
Ethiopia 2-1 Seychelles |
Senegal 2-0 Namibia |
Malawi 1-0 Swaziland |
Algeria v Lesotho (1930) |
Niger v Burundi (1730) |
Guinea 1-0 Zimbabwe |
Kundi M
|
|
|
South Africa 1-1 Mauritania |
Cameroon 2-0 The Gambia |
Title :
UDANDA YATINGA AFCON 2017- TANGU ILIPOTOSWA 1978
Description : Uganda imefuzu kwa mara ya kwanza kucheza katika fainali za Kombe la Mataifa Bingwa Afrika kwa mara ya kwanza tangu 1978 baada y...
Rating :
5