Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji
nchini TBC- DKT AYUB RIOBA amewaomba watanzania kuendelea kutoa msaada
kwa watu wenye uhitaji
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji nchini TBC- DKT AYUB RIOBA
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji nchini TBC- DKT
AYUB RIOBA amewaomba watanzania kuendelea kutoa msaada kwa watu wenye
uhitaji ili na wao waweze kufikia malengo yao.
Akizungumza mara baada ya kumkabidhi kiti cha magurudumu, mtoto
PASCAL MOHAMMED ambaye anakabiliwa na hitilifu katika uti wake wa mgongo
jambo lililomsababishia kushindwa kutembea pamoja na kidonda cha muda
mrefu katika uti wa mgongo.
Naye mama wa mtoto huyo LEAH MOHAMMED amemshukuru msamaria mwema huyo
na kuwaomba watanzania waendelee kumsaidia ili mtoto wake apatiwe
matibab
Title :
MKURUGENZI MKUU WA TBC1 AGAWA MSAADA WA VITI KWA WALEMAVU
Description : Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji nchini TBC- DKT AYUB RIOBA amewaomba watanzania kuendelea kutoa msaada kwa watu wenye uhitaji ...
Rating :
5