MTAMBO mkubwa wa Mawasiliano uliopo mji wa FINO,nchini KENYA umelipuliwa usiku wa kuamkia leo
Mtambo mkubwa wa mawasiliano walipuliwa KENYA
Afisa wa POLISI wa mji wa FINO , BOSITA OMUKOLONGOLO amesema tukio hilo halikusababisha madhara yeyote kwa binadamu.
Kwa mujibu wa taarifa ya OMUKOLONGOLO amesema kundi la AL-SHABAAB linahusika na mashambulio hayo.
Title :
MTANDAO MKUBWA WA MAWASILIANO KENYE WATEKWA NA ALSHABABU
Description : MTAMBO mkubwa wa Mawasiliano uliopo mji wa FINO,nchini KENYA umelipuliwa usiku wa kuamkia leo Mtambo mkubwa wa mawasiliano ...
Rating :
5