JOEL CAMPBEL wa ARSENAL aahamia SPORTING LISBON
Mshambuliaji wa Arsenal Joel Campbel amejiunga na klabu ya Sporting Lisbon nchini Ureno kwa mkopo wa muda mrefu msimu huu
JOEL CAMPBEL
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 amekuwa na Arsenal
tangu mwaka 2011 lakini akashindwa kujiunga na kikosi cha kwanza cha
Arsenal.
Alifunga mabao manne katika mechi 30 msimu uliopita,mabao matatu yakitoka kutoka mechi 19 zilizochezwa ugenini.
Campbell ambaye ni raia wa Costa Rica amecheza kwa mkopo katika klabu ya Lorient,Real Betis,Olympiakos na Villareal.
Campbell hajaichezea Arsenal katika mechi mbili za ligi msimu huu
Title :
JOE CAMPBLE WA ARSENAL KUHAMIA SPORTING LISBON YA URENO
Description : JOEL CAMPBEL wa ARSENAL aahamia SPORTING LISBON Mshambuliaji wa Arsenal Joel Campbel amejiunga na klabu ya Sporting Lisbon nchi...
Rating :
5