Msanii wa muziki wa kizazi
kipya na mchekeshaji wa Bongo Alex Wamachejo, ambae anatamba na kibao cha ‘Kwetu revers’ ya Raymond, jana amefikishwa hospitali
ya taifa ya Muhimbili kufuatia ajali mbaya aliyoipata.
Msanii huyo ambae alikuwa
anatoka kwenye mahojiano (enterview) kwenye ofisi za redio ya Sibuka na
kukumbwa na janga hilo,
“Kiukweli mgonjwa anahalimbaya
sana na amepoteza damu nyingi sana ,tumemfanyia uchunguzi vizuri na tumegungua
kuwa mkono wake wa kulia umevunjika mara mbili hivyo kuna uwezekano mkubwa wa
kuwekewa vyuma mwilini mwake “ Aliongea muhuguzi aliempokea mgonjwa.
Licha ya kutoweza kuongea na
mgonjwa Saluti5 tulifanikiwa kuongea na mmoja wa wasamaria wema aliesaidia
kumfikisha hospitalini hapo.
“Bajaji aliyokuwa amepanda huyu
msanii ilikuwa inatokea njia ya mwenga na nyuma yake walikuwa wanafuatana na
gari ndogo na wakati hiyo gari inaipita ‘Overtake’ ndio ikaigonga pembeni na
kuanguka” alisema msamaria mwema huyo.
Title :
ALEX WAMACHEJO APATA AJALI MBAYA APOTEZA MKONO WAKE
Description : Msanii wa muziki wa kizazi kipya na mchekeshaji wa Bongo Alex Wamachejo, ambae anatamba na kibao cha ‘Kwetu revers’ ya Raymond, ja...
Rating :
5