Kama ni mmoja kati ya watu waliosikia zile stori za washambuliaji wa
Yanga wa kimataifa Donald Ngoma kutoka Zimbabwe na Amissi Tambwe kutoka
Burundi kupigana ngumi, June 25 2016 mkuu wa idara ya habari na
mawasiliano wa Yanga Jerry Muro ameweka wazi ukweli wa tukio lenyewe.
“Kitendo hicho kinachosemwa sio cha kweli, wachezaji walikuwa kwenye
mazoezi wakachezeana rafu kwa bahati mbaya, lakini Tambwe aliumia kidogo
lakini habari kuwa waligombana sio kweli, Tambwe na Ngoma ifahamike
kuwa hawagombanii namba, wote wapo kikosi cha kwanza”
Title :
NGOMA WA YANGA KUMPIGA NGUMI TABWE? TAARIFA IKO HAPA......(SOMA ZAIDI)
Description : Kama ni mmoja kati ya watu waliosikia zile stori za washambuliaji wa Yanga wa kimataifa Donald Ngoma kutoka Zimbabwe na Amissi Tambwe kut...
Rating :
5