Mmiliki na Muongozaji wa kampuni ya
(NYEGERAWAITU) DR NTAMBA NAMUNGU ameanza usajili wa vijana wapatao 15 ambao watakuwa katika kampuni yake ya (NYEGERAWAITU) maneger huyo ambae pia ni maneger wa alex wa machejo (mr sikuzani) amejipanga kuibua vipaji vya wasanii wa changa ambao nao pia watafanya ushirikiano katika kampuni hiyo
Mmiliki halali wa blog ya DR.NTAMBA NAMUNGU... Abdul ibrahimu amefanya mchujo wa wanamusiki hao