Baada ya kulazwa kwa Siku nne Rapper Rick Ross kutoke pande za USA hatimae
Leo March 6, 2018 ameruhusiwa akutoka hospitaliniiku.Ambapo Siku ya Jumamosi iliyopita alipata shida ya kiafya, baada ya kupoteza fahamu na kushindwa kupumua.
Taarifa zinadai kuwa Rapa huyo ameruhusiwa kwenda nyumbani baada ya hali yake kuwa sawa huku kupitia ukurasa wake wa Instagram siku ya jana March 5, 2018 alipost picha ya mkono wake ukiwa na saa za thamani nakuweka caption ya FloridaBoy ikiwa ni eneo ambalo star huyo alizaliwa.
Title :
Hatimae Rapper Rick Ross aruhusiwa bade ya kulazwa kwa siku nne Hospitali
Description : Baada ya kulazwa kwa Siku nne Rapper Rick Ross kutoke pande za USA hatimae Leo March 6, 2018 ameruhusiwa akutoka hospitalini iku.Ambapo Siku...
Rating :
5