DODOMA: Mahakama ya Wilaya mapema leo imemuachia huru Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (CHADEMA)
Hata hivyo Jeshi la Polisi limemkamata tena. Yadaiwa atafunguliwa mashtaka upya.
Mbunge huyo kabla ya kuachiwa leo alikuwa akituhumiwa kwa kumshambulia kwa mateke, ngumi na makofi, Juliana Shonza (Mbunge wa Viti Maalum) ambaye kwasasa ni Naibu Waziri.
Title :
Saed Kubenea Aachiwa Huru na Mahakama na Kukamatwa Tena
Description : DODOMA: Mahakama ya Wilaya mapema leo imemuachia huru Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (CHADEMA) Hata hivyo Jeshi la Polisi limemkamat...
Rating :
5