Ni vijana watatu mashuhuli akiwemo daweez(daud juma)Dzo wa dizim(hamad mussa)Zayumba donny(khassim zayumba.Hivi kalibuni wanatalajia kuachia nyimbo yao mpya SALESARE audio na video so kwanza wanawaomba wale wapenzi wa music mzuri wawasapot kwani bila nyinyi basi hakuna nyegera music hivyo baci wapokeeni kama mnavowapokea wengine
Title :
NYEGERA MUSIC TOKA NYEGERAWAITU ENTERTAINMENT WAKO BUSSY NA MAZOEZ YOTE HAWATAKI KUMBAATISHA KATIKA GEMU LA MUSIC
Description : Ni vijana watatu mashuhuli akiwemo daweez(daud juma)Dzo wa dizim(hamad mussa)Zayumba donny(khassim zayumba.Hivi kalibuni wanatalajia k...
Rating :
5