Matajiri wengi duniani humiliki mamilioni pamoja na vitu vyenye thamani kama nyumba, magari na boti za kifahari, moja kati ya nchi zenye matajiri wanaomiliki vitu vyenye thamani barani Afrika ni Nigeria ambao ndio wameongoza kwa kumiliki Boti za kifahari za bei mbaya.
Ni CEO wa Zenon Petroleum na Gas limited nchini Nigeria anamiliki boti yenye gharama kubwa na wasanii huitumia katika kufanya video za nyimbo zao wakiwemo wasanii kama Davido na Tiwa Savage ambaye alifanyia sherehe katika ya kumkaribisha mtoto wake wa kwanza.
2- Aliko Dangote
Bilionea namba moja barani Afrika Aliko Dangote ni miongoni mwa bilionea kutokea Nigeria wanaomiliki boti za luxury, boti ya Dangote inaitwa ‘Mariya’ na inatajwa kufikia thamani ya dola za kimarekani milioni 43 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 90, kama hufahamu Dangote amewekeza Tanzania kwa kufungua kiwanda cha cement Mtwara.
3. Kola Aluko
Kola Aluko ni mmoja kati ya Mabilionea na Wafanyabiashara wakubwa Afrika, Kola pia ni mtendaji Mkuu katika kampuni yake ya nishati na anatajwa kumiliki boti ya kifahari ambayo kuikodi kwa siku utalazimika kulipa zaidi ya Tsh. bilioni 2.
Boti hiyo ya Kola iliwahi kukodiwa na Rapper wa Marekani Jay Z na mkewe Beyonce walipokwenda kwenye mapumziko.
Title :
Mabilionea watatu wa Afrika wanaomiliki boti za bei mbaya, mmoja kawekeza Tanzania
Description : Matajiri wengi duniani humiliki mamilioni pamoja na vitu vyenye thamani kama nyumba, magari na boti za kifahari, moja kati ya nchi zeny...
Rating :
5