Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella aliyefanya ziara katika Wilaya ya Ukerewe Mwanza ameagiza vyumba vya upasuaji kwenye hospitali zilizopo wilayani humo vinapokamilika kujengwa vianze kutumika haraka, mara tu vifaa vitakapokuwa vimenunuliwa.
Alieleza kuwa hakuna haja ya kusubiri Mkuu wa Mkoa aje kuzindua vyumba hivyo vya upasuaji, vianze kutumika moja kwa moja ili kuokoa maisha ya kinamama wanaotaka kujifungua.
Pia ameagiza kuwa dereva wa gari ya wagonjwa wa Kata ya Kagunguli ambaye ametelekeza gari hilo na kwenda kusikojulikana atafutwe na akabidhiwe gari hiyo tena ili kuendelea kuliendesha.
Title :
UKALI: Mkuu wa Mkoa aagiza Dereva azunguke na Ambulance bila Mgonjwa
Description : Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella aliyefanya ziara katika Wilaya ya Ukerewe Mwanza ameagiza vyumba vya upasuaji kwenye hospitali ziliz...
Rating :
5