Baada ya kuchaguliwa Kama Balozi wa Kinywaji cha Bellaire, Diamond Platnumz kwa sasa anaungana na mastaa wakubwa Marekani katika kuwa mabalozi wa Kinywaji hicho. Mastaa hao wa Hollywood ni pamoja na DJ Khaleed, Rick Ross na French Montana.
Title :
Kitu kilichomuunganisha Diamond na Mastaa wakubwa Marekani
Description : Baada ya kuchaguliwa Kama Balozi wa Kinywaji cha Bellaire, Diamond Platnumz kwa sasa anaungana na mastaa wakubwa Marekani katika kuwa mab...
Rating :
5