Nyota wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo maarufu kama CR 7, amezindua Manukato ‘perfume’ yake mpya ambayo ameipa jina la CR7 au de Toilette.
Nyota huyo wa Mabingwa wa Klabu Bingwa Barani Ulaya, Real Madrid amezindua manukato hayo hapo jana siku ya Alhamisi nakutarajiwa kuuzwa kwa paundi 19 .
Picha za uzinduzi wa Manukato ya mchezaji mpira, Cristiano Ronaldo ‘CR7’
Title :
Nyota wa Madrid, Cristiano Ronaldo azindua ‘perfume’ yake (Picha)
Description : Nyota wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo maarufu kama CR 7, amezindua Manukato ‘perfume’ yake mpya ambayo...
Rating :
5