Julius Nyerere ambapo moja ya makubaliano yaliyofikiwa na wanachama ni kumuondoa Mzee Kilomoni kwenye Bodi ya Wadhamini wa Klabu hiyo.
Mbali na kumuondoa kwenye Bodi ya Wadhamini, Klabu ya Simba imemsimamisha uanachama na itamuandikia barua rasmi kwa ajili ya kumpa nafasi ya kujitetea.
Aidha, Mkutano huo umemchagua Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Alhaj Adam Mgoi kuchukua nafasi ya mzee Kilomoni huku Prof. Juma Kapuya akipitishwa kuwa Mdhamini kuchukua nafasi ya marehemu Ally Klaiyst Sykes.
Title :
Maamuzi ya Mkutano Mkuu wa Simba SC dhidi ya Mzee Kilomoni
Description : Julius Nyerere ambapo moja ya makubaliano yaliyofikiwa na wanachama ni kumuondoa Mzee Kilomoni kwenye Bodi ya Wadhamini wa Klabu hiyo. ...
Rating :
5