Ikiwa ameachia ngoma kali na video tatu mfululuizo katika kipindi kifupu, tutegemee kumsikia Diamond Platnumz katika kolabo mpya na msanii Patoranking wa Nigeria.
Kwa mujibu wa Patoranking kupitia ukurasa wake wa Instagram, amepost picha ikionyesha kuna ujio mpya kati yake na Diamond ifikapo Septemba mosi mwaka huu.
“Wait for it…2 More videos “This Kind Luv ft Wizkid” ” Halle Halle” Drops next from #GOETheAlbum #Skyleve,” ameandika msanii huyo.
Hii itakuwa ngoma ya pili kwa msanii huyo wa Nigeria kutoka ngoma na masanii kutok kwnye Bongo Fleva, ngoma ya kwanza ‘Bajaj’ aliyoshirikishwa na kundi la Navy Kenzo
Title :
Patoranking kudondosha dude jipya na Diamond
Description : Ikiwa ameachia ngoma kali na video tatu mfululuizo katika kipindi kifupu, tutegemee kumsikia Diamond Platnumz katika kolabo mpya na msanii ...
Rating :
5