Nyegerawaitu Intetainment yasema kua inaami wasanii wao ni hatari.Mkurugenzi Dr ntamba na mungu wa intetainment hiyo akidhihirisha kua ``hatujawahi kukosea''.
Hivyo basi tarehe 28 ya mwezi huu watakua na show bab kubwa ndani ya ukumbi wa[BATOTOZ NIGHT CLU] Uliopo BUZA MAKANGALAWE ABIOLA.Hivyo basi wanawakalibisha wote kwani wanasema kuwa wamejipanga haswa kwa kuwapa burudani na wanawasisitizia kua kutakua na ulinzi wa kutosha wote mnakalibishwa
BY HAMADI MUSA
Title :
Nyegerawaitu Intetainment yasema kua inaami wasanii wao ni hatari
Description : Nyegerawaitu Intetainment yasema kua inaami wasanii wao ni hatari.Mkurugenzi Dr ntamba na mungu wa intetainment hiyo akidhihirisha kua ``ha...
Rating :
5