Msanii wa muziki Matonya amesimulia kuwa katika wimbo wa Fid Q wa ‘UsinikubaliHaraka’ hakuwa amepangiwa yeye kufanya chorus bali ni kundi la Wakali Kwanza.
Kupitia Planet Bongo ,msanii huyo ameeelza kuwa “Nilifika kwa Marco Chali, ila nikasikia beat ya hiyo ngoma nikapenda nikasema hebu ngoja nipite humu, aaah baada ya kupita Fid akasikia unaambiwa akasema wee kaa humu mie na Wakali Kwanza tutamalizana, ndio hapo nikasikika katika ngoma hiyo,” ameeleza Matonya.
Pia amesema kuwa kundi hilo la Wakali Kwanza hawakuchukia kitendo
Title :
Fahamu hili kutoka kwa Matonya
Description : Msanii wa muziki Matonya amesimulia kuwa katika wimbo wa Fid Q wa ‘UsinikubaliHaraka’ hakuwa amepangiwa yeye kufanya chorus bali ni kundi ...
Rating :
5