Mkurugenzi wa kampuni ya NYEGERA WAITU ENT. Iliyoko maeneo ya Buza Changulu, Temeke ameanzisha kundi jipya linaloitwa NYEGERA INTERNATIONAL.
Negera International
Kundi hilo jipya linatengenezwa na watu wa nne yaani Kelvin flavour, AbbyTino,Hamad
wadzo na Zayumba Don, vijana hao wanne wataanza kuachia kazi zao baada ya Mezi mtukufu wa RAMADHAN kumalizika, na wana washukuru sana kaka zao Ntamba Band kwa kuonyesha ushirikiano, pamoja na uongozi mzima wa Nyegerawaitu Entertainment yaani DR.Ntamba na Mungu pamoja na Mama Hidaya.
Title :
HILI NDO KUNDI JIPYA LA MUZIKI KUTOKA NYEGERAWAITU ENTERTAINMENT
Description : Mkurugenzi wa kampuni ya NYEGERA WAITU ENT. Iliyoko maeneo ya Buza Changulu, Temeke ameanzisha kundi jipya linaloitwa NYEGERA INTERNATIONAL....
Rating :
5