Beyonce Mathew Knowles ama Quuen B amehofia kutopendezwa ba mavazi yake kutokana na ujauzito wake wa mapacha.
Queen B na mumewe Jay Z ambao wanatarajia kuwapata watoto wao mwezi ujao, alionekana akishangiliwa sana na mashabiki zake alipokuwa akiingia katika sherehe za Wearable Art Gala, mjini Los Angeles.
Queen B anaaminini kelele za kushangiliwa na mashabiki zake katika usiku huo zilikuwa ni za kumshangaa yeye na kumtolea macho kwa kutokupendeza kila anapovaa.
Hii sio mara ya kwanza kwanza kwa msanii huyo kujishitukia umbo lake la sasa kwani hapo awali alionekana kuwakwepa paparazzi kutokumpiga picha kwa kuhofia amenenepa na havutii, hali ambayo ikalazimu mumewe kuongeza ulinzi, ili paparazzi wasifanikiwe kupata picha za mkewe.
Na A lbert Augustine
Title :
Beyonce ahofu kutopendeza na mavazi yake
Description : Beyonce Mathew Knowles ama Quuen B amehofia kutopendezwa ba mavazi yake kutokana na ujauzito wake wa mapacha. Queen B na mumewe Jay...
Rating :
5