Mwana chipikizi muziki anayefanya vizuri katika band ya NTAMBA BAND iliyopo maeneo ya buza changulu, Ar Madini amefunguka na kusema anafananishwa sana na mwanamuziki mkongwe wa rapTanzania MADEE ALLY.
MADINI aliyazungumuza hayo alipokuwa katika mahojiano katika kipindi cha KURASA MSETO juzi katika kituo cha radio CITY FM jijini Dar es
Msanii huyo aliongeza kwakusema amekuwa akifananishwa sana na Madee kila anapokuwa akipita hata akiwa katika vyombo vya usafiri kitu ambacho kinamshangaza sana, na anahisi kufanana kwake na MADEE kunaweza kuharibu brand yake
Title :
AR.MADINI_KUFANANA NA MADEE ISIWE TABU
Description : Mwana chipikizi muziki anayefanya vizuri katika band ya NTAMBA BAND iliyopo maeneo ya buza changulu, Ar Madini amefunguka na kusema anaf...
Rating :
5